Vunja Mbavu 4.0.9

Licencji: Wolna ‎Rozmiar pliku: 3.04 MB
‎Ocena użytkowników: 2.5/5 - ‎7 ‎Głosów

O Vunja Mbavu

Kiswahili: Vunja Mbavu ni program ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na wideo jambo linalompa kila mtumiaji wa program hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Okręg wyborczy Vichekesho Vioja ( Vioja ) Katuni (Katuni) Makala Simulizi ( Simulizi ) Siasa ( Siasa ) Jamii (Jamii) Picha ( Picha ) Wideo Angielski: Vunja Mbavu to aplikacja, która pozwala użytkownikom na wyszukiwanie i czytanie dowcipów napisanych w języku suahili. Wierzymy, że śmiech może mieć wpływ na szczęście życia i wierzymy, że śmiech jest czymś więcej niż lekiem dla zestresowanych ludzi. Aplikacja Vunja Mbavu ma kolekcję różnych dowcipów, które mogą rozśmieszyć każdego i dobrze się bawić. Dobrą rzeczą jest; Vunja Mbavu jest dla wszystkich nawet żarty rodzinne, ponieważ regulujemy obraźliwe języki i wierzymy, że każdy może śmiać się bez słuchania obraźliwych słów.